Luke 22:35

Mfuko, Mkoba Na Upanga

35 aKisha Yesu akawauliza, “Nilipowatuma bila mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu chochote?”

Wakajibu, “La, hatukupungukiwa na kitu chochote.”

Copyright information for SwhNEN